BAADHI YA UKWELI MBAYA WA MAISHA


  1. Afya yako ni muhimu sana.
  2. Hakuna mtu atakushangilia unapo fanya kazi kwa bidii.
  3. Unaona watu walivyo kweli wakati unapopitia shida au magumu.
  4. Pesa, nguvu, na sura hazitamatter milele. Sote tunazeeka na kuanza kuona mambo tofauti.
  5. Wazazi wako wanazeeka na wanahitaji msaada wako. Usisahau hilo.
  6. Si kila mtu atakuwa na hadithi kubwa ya mafanikio, na hilo ni sawa.
  7. Utafeli wakati mwingine.
  8. Kinachojali ni jinsi unavyoinuka baada ya kuanguka.
  9. Maisha yanaweza kuwa magumu. Wakati mmoja unaweza kuwa na furaha, na wakati mwingine unaweza kupoteza kila kitu.
  10. Kila wakati uwe tayari kwa mabadiliko.
  11. Weka moyo wako wazi kwa maisha na jaribu usiwe na chuki. Kuwa na chuki kunakuumiza. Kila mtu anastahili maisha mazuri, hata kama huamini hivyo.

Post a Comment

Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.