[theme_section_hidden_section.ReportAbuse1] : Plus UI currently doesn't support ReportAbuse gadget added from Layout. Consider reporting about this message to the admin of this blog. Looks like you are the admin of this blog, remove this widget from Layout to hide this message.
Filamu ya Squid Game imeendelea kufanya Vizuri Duniani kote huku ikiweka rekodi ya kuwa ndio filamu pekee iliyofuatiliwa zaidi na watu wasio tumia lugha ya kingereza
Filamu hiyo umekuwa na mafanikio makubwa huku ikipanda kutoka nafasi ya saba hadi ya pili kwenye kwenye orodha ya kila wiki filamu hiyo ikiwa imetazamwa na watu milioni 58.2 katika wiki ya mwaka mpya
Squid Game msimu wa pili ilitoka rasmi Disemba 26.2025 huku ikihusisha mastaa mbalimbali ambao ni Lee jung-jae, Wi Ha- jun
Mtandao wa Neflix umeeleza kuwa mpaka kufikia sasa filamu ya Squid Game imeshatazama na zaidi ya watu milioni 126 ndani ya siku 11 pekee
Filamu ya Squid Game imeendelea kufanya Vizuri Duniani kote huku ikiweka rekodi ya kuwa ndio filamu pekee iliyofuatiliwa zaidi na watu wasio tumia lugha ya kingereza
Filamu hiyo umekuwa na mafanikio makubwa huku ikipanda kutoka nafasi ya saba hadi ya pili kwenye kwenye orodha ya kila wiki filamu hiyo ikiwa imetazamwa na watu milioni 58.2 katika wiki ya mwaka mpya
Squid Game msimu wa pili ilitoka rasmi Disemba 26.2025 huku ikihusisha mastaa mbalimbali ambao ni Lee jung-jae, Wi Ha- jun.