HATIMA YA VITAMBULISHO VYA NIDA VINAVYOFUTIKA MAANDISHI

Bruno Kaitaba


 Waziri wa mambo ya ndani  Innocent Bashungwa ameitaka mamlaka inayohusika na vitambulisho vya Taifa NIDA ikusanye vitambulisho vinavyo futika maandishi  kwa Wananchi ili vizalishwe upya.

Bashungwa ameyasema hayo leo  kwenye kikao kazi na jukwaa la wahariri Tanzania (TEF)  kilicho fanyika katika Ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es salam.

Sambamba na hayo waziri Bashungwa ameeleza kuwa wizara yake imeendesha kampeni mbalimbali ikiwemo ile ya usalama Barabarani, kinga ya Moto kwa kutumia Magari 12 ya zima moto pamoja na kampeni ya Mjue Jirani yako.

Post a Comment

Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.